Jinsi ya kuwekeza na kampuni ya green world

Jinsi ya Kuwekeza ndani ya Kampuni ya Green World na Ukatengeneza Pesa kila mwezi.

Tunafurahi kuendelea kupata maoni yako . Kama wewe ni mmoja wa watu wenye kiu ya kuwekeza pesa zao kwenye kampuni na wakavuna pesa kila mwezi basi hii ni fursa nzuri. Unaweza kuwekeza na kampuni ya Green World na ukaanza kutengeneza kipato pasipo kutumia nguvu kubwa na pasipo kuathiri shughuli zako zingine.Fursa hii inawafaa watu wote kuanzia kwa wafanyabiashara wenye mtaji mkubwa hadi wenye mtaji mdogo, vijana wanaotafuta ajira na wenye kutaka kuongeza kipato chao. Unachotakiwa ni kuelewa vyema mpango wa malipo wa kampuni yetu na vigezo unavotakiwa kuwa navyo ili uweze kuingia ubia nasi.

Maelezo kuhusu kiini cha uwekezaji ndani ya kampuni ya Green World.
Uwekezaji ndani ya kampuni ya Green world unalenga katika maeneo makuu mawili

  1. Bidhaa za Afya:


    Kampuni ya Green World imeweza kutengeneza bidhaa zaidi ya 150 ambazo ni virutubisho na mimea tiba (tiba zote hizi zikiwa zimefanyiwa utafiti wa hali ya juu na kutunukiwa vyeti vya ubora) katika kutibu magonjwa mbalimbali na sugu ya kiafya na kuimarisha afya ya mwili kwa kurudisha madini na vitamin zinazokosekana. Bidhaa hizi hazipatikani madukani bali kwa mawakala wachache ambao tayari wameingia ubia na kampuni na kuwa wasambazaji rasmi kwa bidhaa za kampuni. Hapa ndipo unaweza kuwa mmoja wa watu wanaofadika na bidhaa hizi katika kuweka sawa afya yako mwenyewe na ndugu zako na kuwasaidia watu wengine wenye changamoto za kiafya ambao wamezunguka mahospitali bila kupona.

  2. Mbolea asili (Nutriplant Organic Plus Fertillizer) iliyo kwenye Mfumo wa Maji. 

    Mbolea yetu ya Nutriplant Organic Plus Fertillizer haina kemikali hatarishi, ni mbolea iliyotokana na viumbe hai yani wanyama na mimea. Mbolea ya Green World imetengenezwa baada ya utafiti wa kina kufanyika nchini Marekani na kutengenezwa katika viwanda bora zaidi. Mbolea yetu ya Green World haina madhara kwa binadamu wala wanyama hivyo unaweza kula mazao yako hata baada ya kuitumia, pia imesheheni virutubisho vingi kama vichochezi au homoni,vitamini na madini yote muhimu ambayo huhitajika katika mmea yani macronutrients na micronutrients wakati mbolea nyingi za viwandani huwa na macronutrients tu. Mbolea huhifadhiwa katika ujazo wa liter mmoja(1) na ina uwezo wa kutumika kwa heka mpaka 14 kwa mara moja.
    Faida ya Mbolea ya Green World

    Mbolea hii inakuhakikishia mafanikio yafuatayo;

    1. Kupunguza gharama za kununua mbolea. mfano kikawaida shamba la heka moja hutumia mifuko mitatu ya mbolea ya chumvichumvi, mfuko mmoja wa kilo 50 unaweza kugharimu shilingi  50,000/= mpaka 60,000/=. zidisha kwa mifuko mitatu, 50,000×3=150,000 au 60,000×3=180,000/= sasa hii ni gharama ya kutosha heka 1 pekee. hebu tuangalie gharama ya mbole hiyo hiyo ya chunvuchunvi kwa heka 10. manake ni 150,000×10= 1500,000 (milioni moja na laki 5).  HEBU TUANGALIE BEI YA MBOLEA YA GREEN WORLD: chupa moja ya ujazo wa mililita 1000, lita 1 ni sh 80,000, na inatumika kwa heka 8 kama ukipuliza kwa awamu 2.  sasa angalia gharama ambayo utakuwa umeepusha. 1500,000-80,000= 1420,000. utakuwa umeokoa zaidi ya shilingi milioni moja kwenye mbolea  tu kwa shamba la heka 10. achilia mbali kuepusha madhara mengine kama kuharibika na kuchakaa kwa shamba na uchafuzi wa mazingira kutokana na matumizi ya mbolea ya chunvichunvi .
    2. Kuongeza uwezo wa mimea kufyonza madini lishe mbalimbali kutoka katika udongo na pia kuotesha mizizi na matawi haraka.
    3. Kuongeza uwezo wa mimea kujitengenezea chakula chake.
    4. Huongeza rutuba ya shamba lako na inahifadhi unyevu kwa muda mrefu pia hurudisha ph ya udongo kufikia kiwango kinachohitajika kwa mmea yani kati ya 6-8
    5. Huwezesha mimea kuhimili upepo mkali,ukame,baridi na magonjwa
    6. Hufanya mimea kuota mapema na iwe na afya njema n.k
    7. Huongeza thamani ya mazao yako kwani huwa mengi,makubwa,yenye rangi na radha nzuri na yenye kuvutia sana.

Mgawanyo wa Uwekezaji Ndani ya Green World Kutokana na Mtaji wako.

Kama tulivosoma hapo juu kuna makundi makubwa mawili ya biadhaa ambayo mjasiliamali na mfanyabiashara yeyote anaweza kuwekeza na atatengeneza faida kupitia bidhaa hizi.  Kwa hiyo unaweza kujikita kuwa msambazaji wa mbolea tu ama ukawa msambazaji wa biadhaa zetu za afya na kutibu wagonjwa wenye matatizo mbalimbali ama ukasambaza bidhaa zote kwa pamoja za afya na mbolea. Sasa tuangalie makundi haya ya uwekezaji na faida wanazopata kwa kila mmoja kisha utajitathmini mwenyewe uone mahali unapofiti.

Kundi la Kwanza (Personal Health Care)

Ndani ya kundi hili tunawaweka watu wote wenye matumizi binafsi ya bidhaa zetu. hawa wanataka kuwekeza katika afya zao na kufanikisha kutibu maradhi yao kwa nagzi ya familia na marafiki. kwahiyo si lazima uwekeze kwenye pesa bali unaweza kuwa mteja wetu wa dawa na virutubisho na ukaweza kuimarisha afya ya familia yako.

Vigezo vya kupata huduma ya hadhi ya Personal Health Care

1. Kulipia gharama ya kujiunga na huduma (registration fee) ya sh 35,000/= kisha utapata kitabu chenye maelezo rahisi ya bidhaa na kadi ya uanachama.
2. Uwe na kiasi cha fedha walau sh 100,000/= kwa ajili ya kunua virutubisho na dawa kwa ajili ya matumizi ya kifamilia, ndugu na marafiki. NB utapata maelekezo kutoka kwa wakufunzi wetu kuhusu virutubisho na dawa sahihi za kuchuka kutokana na uhitaji wako wa kiafya.

Faida za Kujiunga na Personal Health Care Package.
  • Kufanya manunuzi kwenye matawi yetu ya Mwanza na Dar es salaam kwa punguzo la 20% kila  kwa bidhaa yoyote na kwa muda wowote.
  • Kupata elimu ya afya bure na ushauri kwa afya zao pale wanapohitaji.
  • Kufaidi zawadi mbalimbali zinazotolewa na kampuni kutokana na manunuzi yao ya bidhaa.
  • Kupata bonus (gawio la 5-45%) kwa manunuzi utakayofanya kila mwezi, yaani kwa maelezo rahisi ni kurudishiwa kiasi cha pesa ulichotumia kufanya manunuzi ya bidhaa.

    Kundi la pili -Business Class(wekeza Tsh 560,000/=)

    Kundi la pili ni business class, hapa tunawaweka watu wanaohitaji kutumia bidhaa zetu kibiashara zaidi. na wataanza na kiwango cha fedha Sh 560,000/=

    Vigezo vya kufaidika na kifurushi cha business class. 
  • Unatakiwa kuwa ni kiasi cha mtaji wa sh 560,000/= ,ambayo inajumuisha usajili, utajaza fomu ya kujiunga na kuwa mwanachana wa kampuni.na kisha  kuchukua bidhaa zetu utakazopendelea tayari kabisa kuanza kazi na kutengeneza pesa. (NB utapata usaidizi na ushauri kutoka kwa wakufunzi wetu juu ya bidhaa gani uchukue kwa wateja wa namna gani)

    Faida za kujiunga na kifurushi cha business class.

    1. Utapata faida ya rejareja ya 20% ambayo ni sawa na sh 106000/= hadi 150,000/= kwa mauzo ya bidhaa utakazonunua.
    2. Kampuni itakupa gawio la 20% kwa manunuzi yoyote utakayofanya kila mwezi kwa miezi inayofata baada ya manunuzi ya kwanza.
    3. Kampuni itakupa mafunzo ya jinsi ya kusambaza bidhaa zako na namna ya kuongea na wateja. semina zetu hufanyika mara tatu kwa wiki. itakujengea uwezo na nguvu kubwa ya kufanikisha biashara yako.
    4. Utapata mafunzo ya afya bure  kila week.
    5. Utapata zawadi mbalimbali za kila mwezi na promotion zinazotolewa na kampuni.

Kundi la tatu-Premier (wekeza Tsh 2,000,000-10,000,000/= milioni mbili mpaka milioni kumi.

Kifurushi hichi cha premier kinawafaa zaidi wataohitaji kutoa huduma ya dawa na virutubisho kwa kundi kubwa la watu mfano wenye vituo vya afya, wataalamu wa tiba asili wanaotafuta dawa na virutubisho vyenye ubora wa hali ya juu. Wakulima wakubwa(kwa upande wa bidhaa yetu ya mbolea ya asili-organic fertilizer) wanaotaka kuleta mapinduzi ya kilimo.

Vigezo vya Kujiunga na Kifurushi cha Premier.
  • kiwango cha fedha kama mtaji  kuanzia sh milioni mbili mpaka milioni kumi. fedha hii itajumuisha gharama ya kujiunga na kampuni ambapo utajaza fomu ya usajili na kisha kuchukua bidhaa kutokana na uchaguzi wako. aidha kwenye kilimo (mbolea), au kwenye afya(dawa na virutubisho) au vyote kwa pamoja..NB utapata ushauri, maelekezo na usaidizi kutoka kwa wakufunzi wetu ili kufanikisha manunuzi ya bidhaa zinazoendana na malengo yako ya kibiashara.
    Faida za Kujiunga na Kifurushi cha Premier
    1. Utapata faida ya rejareja(retail profit) ambayo ni 20% ya thamani ya bidhaa ulizonunua mfano kwa bidhaa za Tsh 5,000,000/=  faida ni Tsh 1,000,000 shilingi milioni moja ndani ya mwezi mmoja.
    2. Utapata gawio ambalo ni 25%-30% kwa manunuzi ya kila mwezi yatakayofuatia. mfano kwa manunuzi ya Tsh 5,000,000 ni sh 1,500,000. jumla ya faida pamoja na ile ya rejareja ni shiling 1,500,000+1,000,000=2,500,000 (Milioni mbili na laki tano) Jiulize ni mahali gani unaweza kuwekeza milioni tano na ukavuna shilingi milioni mbili kama faida ndani ya mwezi mmoja tu. Najua sasa utakuwa na kiu ya kuungana nasi kibiashara.
    3. Kwa manunuzi ya kuanzia Tsh 8,000,000/=Milioni nane utapata zawadi ya Quantum Magnetic resonance analyser machine yenye thamani ya Tsh 1,463,000/= milioni moja laki nne na sitini na tatu elfu. mashine hii itakusaidia kupima hali ya mgonjwa kisha kufanya maamuzi dawa ipi na virutubisho gani vitamfaa.
SAPOTI KUTOKA KWENYE UONGOZI WA KAMPUNI ILI KUKUSAIDIA UFANIKIWE KBIASHARA
  1. Mafunzo ya bure yatatolewa kwa watu wote ambao watajiunga na kufanya kazi na pampuni jinsi ya kuwa msambazaji bora wa bidhaa zako na kufanikiwa kibiashara pamoja na namna ya kupambana na changamoto za soko.
  2. Bidhaa zetu zimethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania TFDA na mamlaka ya chakula na dawa ya marejani FDA pamoja na shirika na kimataifa la viwango-ISO, hivo utafanya biashara pasipo mashaka na woga na utajitengenezea kundi kubwa la wateja wako maana bidhaa hizi hazipatikani mahali pengine Tanzania isipokuwa kwenye ofisi zetu za Mwanza na Dar es salaam.Maelezo ya mwisho.
    kila mtu anaruhusiwa kushirikiana nasi aidha katika kuweka afya yako vizuri na kutatua changamoto za kiafya zilizokusumbua kwa muda mrefu,pengine umepoteza pesa nyingi mahospitali bila kupona, au unataka kutengeneza kipato na ukawekeza pesa yako mahali pa salama na pa uhakika, ama wewe ni mkulima unataka kuongeza tija kwenye uzalishaji wako na ukasaidia pia wakulima wengine wanaopata changamoto za kilimo. kwa kiasi chochote cha fedha ulichonacho basi wasiliana nasi tutakushauri uchukue kifurushi gani na uanze vipi biashara. Nakuruhusu sasa chukua muda wa dakika 10 kutafakari na kufanya maamuzi ni kifurushi kipi kitakufaa kutokana na malengo yako. kisha jaza fomu hii hapa chini taratibu kwa uangalifu baada ya hapo itume. Timu yetu itapitia maombi yako kisha tutakupigia simu kukupa utaratibu wa kufika ofisi zetu na hapa Dar es salaam, Karume, machinga Complex na Mwembechai magomeni. kama utakuwa mkoani basi tutakupa utaratibu mzuri wa kuuungana nasi.
    Tafadhali endelea kusoma kwa kubonyeza maandishi ya blue hapa chini ili upate uhakika na bashara ndani ya Green World. Tupigie kwa namba 0768557606