
Green World ni kampuni inayojihusisha na utafiti wa kisayansi na utengenezaji wa bidhaa za virutubishi kwa kutumia mimea, matunda, wanyama na mazao ya baharini. Bidhaa hizi ni muhimu katika kuboresha afya kulingana na changamoto za magonjwa. Kwa upande wa Tanzania, ofisi za Kampuni zipo hapa Machinga Complex, Karume ghorofa ya 4 na Mwembechai Magomeni.
Kwa nini Nakushauri Kuboresha Afya yako na Familia Kupitia Bidhaa za Green World?
1.Gharama Ndogo ya Kujiunga kuwa Mwanachama

Moja ya sababu ya kiushindani (competitive advantage) ambayo inatofautisha Green World na makampuni mengine yanayofanya biashara ya mtandao (network marketing) ni kumpa mteja uwezo wa kujiunga kwa gharama ndogo sana ya Tsh 35,000/= pasipo kuwa na pesa ya kianzio kama mtaji. Unapolipia gharama hii unapata kadi ya uanachana na kitabu kimoja chenye maelezo kuhusu huduma utakazofaidika wewe pamoja na watu wanaokuzunguka.
2.Uhuru wa Kujiunga na kutumia Bidhaa pekee Pasipo kuwa Msambazaji
Kwa mantiki hiyo utaweza kujiunga na kuwa mwanachama na kisha ukanunua dawa na virutubishi hivi vya asili kwa ajili ya matumizi yako mwenyewe na familia yako. Usipate hofu kwamba utahitaji kutembeza bidhaa mtaani hapana !!
3.Hakuna Ada ya kila Mwezi wala Kiwango cha Chini Unachotakiwa Kununua kila Mwezi;
Pengine una hofu kwamba kuna ada ya kila mwezi au mwaka, jibu ni hapana! hakuna ada ya kila mwezi ukishalipia ada ya mwanzo wa kujiunga hutahitaji tena kulipia,utaendelea kufurahia bidhaa hizi kwa bei ya msambazaji siku zote.
4.Bidhaa zetu za Afya Zimegawanyika katika Makundi Makubwa matatu
Kundi la kwanza ni bidhaa za kusafisha mwili, kundi la pili ni kutibu ambapo ni kwa ajili ya wagonjwa wa matatizo kama saratani, tezi dume, vidonda vya tumbo nk, na kundi la tatu ni virutubishi vya asili kwa ajili ya kuongeza madini na vitamini unazizikosa kwenye mlo wa wako wa kila siku.
5.Ubora wa Dawa na Virutubishi
Kuhusu usalama wako kama mlaji hapa hakuna shaka, maana bidhaa zetu zimethibitishwa na TFDA ukiacha uhakiki uliofanywa na mamlaka ya chakula na dawa ya Marekani- FDA.
Hizi ndizo sababu kubwa zilizonifanya mimi kuichagua Green World kama daraja la kuimarisha afya yangu na pia kwa upande mwingine kama mtumishi wa afya nimefanikiwa kulisaidia kundi kubwa la wagonjwa wangu kupona changamoto za kiafya. Kama itakupendeza nawe, basi karibu.
Makundi ya Vifurushi (Packages ambazo Utafaidika nazo)

Ikumbukwe kwamba makundi nitakayoelezea hapa chini ni ya maeneo ya kiafya ambapo bidhaa zinagusa na siyo kwamba utalazimika kulipia gharama fulani iliyopangwa kwa kila vifurushi, uamuzi utakuwa ni wako kwamba utumie bidhaa gani , na unaruhusiwa kuchagua bidhaa hata kama ni moja, kuendana na changamoto yako ya kiafya.
Makundi Haya ni
- Female Care Package– kwa ajili ya kuimarisha afya ya mwanamke na kutatua matatizo mbalimbali ya wanawake kama uvimbe, ugumba, PID, UTI, kuvurugika kwa homoni na matatizo mengine ya uzazi.
- Male Care Package– kwa ajili ya kuimarisha afya ya viungo vya uzazi vya uzazi vya mwanaume mfano kuboresha uwezo wa tendo la ndoa, na kutatua matatizo kama ya tezi dume.
- Joint & Bone Health Package– kwa ajili ya afya ya mifupa na maungio, na wenye matatizo kama ya gout, arthritis, pamoja na watu wenye umri mkubwa.
- Eye Care Package– kwa ajili ya kuimarisha afya ya macho. kifurushi hiki kinawafaa watuwanaotumia kompyuta kwa muda mrefu, wenye magonjwa ya macho, wazee na wanaohitaji kuimarisha uwezo wa macho.
- Brain care Package– kwa ajili ya kuimarisha afya ya ubongo
- Cadio Care Package– kwa ajili ya afya ya moyo, kurekebisha presha ya damu, kuondoa mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu na kuimarisha mzunguko wa damu mwilini.
- Digestive Care Package– kwa matatizo ya tumbo kama vidonda vya tumbo, kukosa choo au kupata choo kigumu (constipation), kiungulia, kusafisha na kuimarisha uwezo wa uchakataji wa chakula tumboni.
- Cancer Care Package– kwa ajili ya wagonjwa wenye saratani mbalimbali. Kuimarisha kinga ya mwili, kudhibiti kusambaa kwa seli za saratani na kuepusha madhara ya tiba za mionzi (radiotherapy na chemotherapy)
- Slimming Care package– kwa ajili ya kupunguza uzito mkubwa na kitambi na ukarudisha shapu yako nzuri.
- Detox Care Package-kwa ajili ya kutoa sumu mwilini, sumu ambazo tunazipata kupitia vyakula, vinywaji kama pombe,sigara na hewa chafu tunayovuta
- Sumu zinazozalishwa kutokana na shughuli za kimwili (metabolic activities)
Kama umefika hapa naamini kabisa kwamba afya ni kipaumbele chako na unataka kuungana nasi, ili kupitia kampuni ya Green World ili uanze kuimarisha afya yako na uepuke magonjwa ya mara kwa mara au ujitibu baadhi ya magonjwa sugu uliyonayo.
Mpenzi msomaji wangu nakupa dakika 2 za kutafakari. Endapo utakuwa umeridhika na maelezo yetu bofya kitufe hapa chini uwasiliane nasi whatsapp ili kuijiunga green world na kuanza kufaidika na bidhaa zetu.