Jiunge na Green world-Tanzania

Ifahamu kampuni ya greenworld itakayokuvusha kuelekea kwenye mafanikio

Nimeona ni lazima niizungumzie kampuni ya green world  kwa sababu watanzania wengi tayari wamenufaika sana kupitia kampuni hii, wengi wao wanapata vipato vikubwa sana kwa mwezi na wengine wamefikia kupewa magari yenye thamani ya hadi shilingi milioni 70. Watu ninaowazungumzia si watu wenye elimu kubwa au waliokuwa na mitaji mikubwa sana, la hasha, ni watanzania wa kwaida tu waliokuwa na ari ya kufanya biashara na walipoisikia kampuni hii wakajiunga mara moja na kujituma ipasavyo. Mfano ni huyu dada hapa chini aliyeanza bila mtaji wa kujiunga tu kwa shilingi 35,000/= za kitanzania.

Historia ya Green world kwa ufupi

Green World USA ni kikundi cha makampuni ya kimataifa kinachoshughulika na utafiti wa kisayansi, uendelezaji na uzalishaji wa madawa ikiwa ni pamoja na dawa zinatozotokana na mimea na vipodozi kikiwa na makao yake makuu katika mji wa Michigan nchini Marekani na viwanda vyake vya uzalishaji huko South Carolina.

Muasisi wa kampuni hii Dk. Deming Li alikuwa na dhamira moja kuu ya kutumia mimea na hasa mimea ya asili ya China na matokeo ya tafiti zake binafsi alizozifanya kupata hazina ya bidhaa zitakazomsaidia kila mtu popote pale alipo katika dunia yetu.

Kampuni ya Green World iliundwa kutengeneza bidhaa zinazotokana na mimea na vitu vya asili kwa kutumia utaalamu wa hali ya juu wa kisasa. Kwa kushirikiana na vituo vya utafiti na vyuo vikuu mbalimbali, kikiwepo chuo kikuu cha Cornell (USA), kampuni hii imeweza kutengeneza bidhaa mbalimbali za tiba-lishe, bidhaa ambazo hadi sasa zimeleta na kutoa mchango mkubwa katika kuboresha afya ya binadamu. Dawa za kampuni hii zimepokelewa na zinatumika sana katika nchi za China, Marekani na nchi za kusini mashariki mwa bara la Asia hasa Indonesia.

FAIDA/NJIA 5 UNAZOWEZA KUTENGENEZA PESA UKIWA NDANI YA KAMPUNI YA GREEN WORLD
  1. Faida ya mauzo ya rejareja kwa wateja wako, ambapo ni 15% ya bei unayouziwa dukani ikimaanisha kwamba unauziwa kwa punguzo la 15%
  2. Indirect Bonus, ambapo ni bonus unayopewa kutokana na mauzo yako mwenyewe
  3. Indirect bonus hii ni bonus ambayo unapewa kutokana na mauzo ya team yako ya biashara, nikisema team namaanisha kwamba unapoanza biashara na ukajifunza mbinu za kufanya biashara basi ndipo unavoweza kufanya duplication yaani kuwafundisha na wengine vile ambavyo wewe unafanya na ndipo utakapokuza kipato chako.
  4. Zawadi maalumu, hizi hutolewa kwa msambazaji mwenye kiu na mwenye kasi ya ufanyaji biashara, hata wewe unaweza kuipata, utafahamu unaipataje kwenye mafundisho ya baada ya kujiunga na biashara. Zawadi hizi ni kama magari, safari za kwenda nje, pamoja na nyumba. hapa chini nimekuwekea video fupi ya sherehe ya utoaji zawadi iliyofanyika Johensburg Afrika kusini mwezi wa 11 mwaka 2017.
Bonyeza video ya sherehe ya utoaji zawadi greenworld
  • Faida ingine ni kwamba utapata mafunzo ya kufanya biashara bure kabisa kutoka kwa kiongozi wako aliyekutangulia, hapa ndipo utagundua kuwa network marketing ni darsa kubwa sana ambalo inahitaji kufungua ubongo na kufanyia kazi unachojifunza.
  • Mwisho kabisa bidhaa zina ubora wa hali ya juu, hivo utaweza kutatua matatizo ya kiafya yanayoikumba familia yako, jamii inayokuzunguka na pia kutatua kero mbalimbali za wakulima. Hii itakuongezea thamani na umuhimu wako kwa jamii.
  • JINSI GANI UJIUNGE NA KAMPUNI YA GREEN WORLD NA UANZE BIASHARA

    Kwa wale wa mjini Dar es Salaam ni rahisi mno kujiunga na Green World. Unatakiwa ufike kwenye ofisi ya kampuni iliyopo eneo la Karume, ndani ya jengo la Machinga Complex. Kama upo Mwanza, unaweza kufika kwenye duka letu lililopo mtaa wa Rufiji na ukafanya taratibu za kujiunga na Green World kwa vigezo vya kawaida ambavyo kila mmoja anaweza kumudu, hivo unaweza kuanza na kiasi kidogo sana cha pesa.

    1. kwanza kabisa unalipia ada ya sh elf 35 kisha unapata leseni ambayo ni kadi ya kimataifa ambayo itakutambulisha popote duniani na kwa wanachama kwamba wewe ni msambazaji wa bidhaa za kampuni ya gren world. Pia utapewa kitabu ama business manual kwa ajili ya kujifunza zaidi kuusu bidhaa na namna ya kufanya biashara yako, zawadi ambazo hutolewa na kampuni na kanuni za kufuata.
    2. Unatakiwa kuwa na email address, namba ya simu , na tarehe ya kuzaliwa ili kujaza form ya kujiunga na kampuni ya green world .
    3. Kiwango kizuri cha mtaji kwa kuanzia ni Tshs 535,000/=. Nasema kiwango kizuri cha kuanzia kwa sababu siyo lazima uwe na kiasi hicho chote cha pesa. Kiwango kamili kinachotakiwa kwa kujiunga ni Tshs 35,000/= tu. Nimeandika kiasi hicho hapo juu nikiunganisha na Tshs 500,000/= kiasi ambacho ukitumia kununua bidhaa, kitakufikisha ngazi ya 3*C mara moja, ngazi nzuri ya kuanzia kupata bonus. Lakini kama huna pesa yote hiyo basi unaruhiwa kujiunga tu na ukafundishwa jinsi ya kufanya biashara bila kuwa na mtaji.

    Maduka ya kampuni ya greenworld nchini yanapatikana mikoa ya Dar es salaam na Mwanza pekee, hivo bado una fursa wewe mfanyabiashara unayetaka kujiunga na greenworld kufungua na kusimamia ofisi mikoa kama Arusha, Dodoma na kuongeza maduka mengine mengi popote nchini, kwa kuanza na mtaji wako unaotaka na kampuni itakusapoti kwa 100%

    BIDHAA ZINAZOPATIKANA NDANI YA KAMPUNI  YA GREEN WORLD AMBAZO NI KIUNGANISHI CHAKO NA WATEJA
    1. Kundi la kwanza ni Dawa kwa ajili ya kutibu mtatizo mbalimbali ambayo ni lifestyle diseases kamaDawa na virutubisho ni kwa ajili ya kutibu maradhi yafuatayo.
      • Matatizo ya akili na kushindwa kufanya maamuiz
      • Kukaza kwa joints na maungio ya mifupa
      • Kushuka kwa kinga na kushambuliwa na maradhi mara kwa mara
      • Mzio ama alegi
      • Maumivu ya kifua kutokana na moyo kukosa hewa ya okyjeni
      • Pumu na magonjwa ya mapafu
      • Fangasi
      • Unene kupita kiasi, kitambi na kuongezeka kwa mafuta mabaya mwilini
      • Maumivu ya mgongo na kiuno
      • Matatizo ya kutoona vizuri
      • Matatizo ya meno kuuma na kutoa damu
      • Saratani
      • Matatizo ya ngozi
      • Magonjwa ya figo na ini
      • Upungufu wa nguvu za kiume
      • Vidonda vya tumbo
      • Kisukari
      • Ugumba na kuziba kwa mirija ya uzazi kwa wanawake
      • Tezi dume
      • Matatizo ya hedhi
      • Maumivu ya viungp
      • UTI na msongo wa mawazo na mengine mengi
    2. Kundi la pili ni supliment ama virutubisho kwa ajili ya kusawazisha mahitaji ya mwili ya madini na vitamin mbalimbali zilizokosekana
    3. Kundi la tatu ni dawa kwa ajili ya kusafisha mwili na kuimarisha kinga ya mwili ili kuujengea mwili uwezo mzuri wa kupambana na magonjwa
    4. Kundi la 4 ni mbolea (organic) kwenye ujazo wa lita moja.
      imetengenezwa kiasilia kwa ajili ya kuongeza uzalishaji kwenye mimea,  ikiwa na madini yote muhimu (macro na micronutrients), vitamin na proteins pia kwa ajili ya mimea. haya ni maelezo mafupi kuhusu mbolea lakini nakuahidi ukiiona na kusoma machapisho yake mengine utapenda kutumia siku hiyo hiyo. karibu ndani ya kampuni ya greenworld. najua hapa ni patamu zaidi kwa mkulima

    HITIMISHO

    Kupitia kampuni ya green world utaweza kufanya  biashara ya mtandao uwe mfanyakazi aliyeajiriwa, mkulima, kijana asiye na ajira na kundi lingine lolote hii ni fursa adimu. kwa mtu ambaye ana nia ya kuongeza kipato na kusaidia wengine pia wafanikiwe. kazi kwako kufanya tathmini kumbuka haya maelezo ni ya awali ili kukufungulia mlango kishaa baada ya hapa kuna mfululizo wa mafunzo mengi ambayo utayapata endapo ukiamua kuanza biashara.

    SASA KABLA HUJAJIUNGA TAFADHALI SOMA MAELEZO MAFUPI YA UTANGULIZI KWA KUBONYEZA MAANDISHI YA BLUE HAPA CHINI

    KABLA YA KUJIUNGA NA KAMPUNI YA GREEN WORLD.