Madhara ya Kupiga Punyeto na Tiba

Mwanaume mwenye mawazo

Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo cha kupiga punyeto. Madhara haya ni pamoja na kuwahi kufika kileleni, kushindwa kurudia tendo na jogoo kuwa legelege. Makala yetu ya leo imeeleza kwa kina tatizo hili la kupiga punyeto na huduma ya dawa kwa wanaume wanaokwama kitandani. Endelea kusoma

Punyeto ni nini?

Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k

Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba “kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu” Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu.

Ukubwa wa tatizo kwa vijana

Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika na tatzo hili na inakuwa ngumu kujinasua kutoka kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia kwa makini makala hii

Madhara ya Upigaji Punyeto kwa Mwanaume

Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto

1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:

Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.

2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:

Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.

Athari Nyingine za Kupiga Punyeto ni kama Zifuatazo

  • Uchovu wakati wote /
  • Maumivu ya nyonga na mgongo wa chini / Lower back pain.
  • Kusinyaa kwa Nywele na nywele kunyonyoka
  • Maumivu ya kende
  • Maumivu ya kiuno

Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana hicho kitendo.
Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na pia uweze kjicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo imewasaidia vijana wengi.

1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA

Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za muhimu na kufuta zile zisizo za muhimu, angalau masaa 8 kwa siku. Hakikisha unalala mapema hapo ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo mabaya.

2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI

Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa (junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya kuachana na upigaji punyeto itakwama.

3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI

Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa kuleta fikra mbaya ni mdogo sana

4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30 ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya  tamaa zao za mwili. Anza leo kwa kufuta picha na video zote za ngono kwenye simu yako na ujiwekee mipaka kwamba hutazipakua tena.

NATURAL REMEDY PACKAGE KWA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

kifurushi cha kurejesha nguvu za kiume

Kwa kutambua kuwa vijana wengi wameathirika na tatizo la upigaji punyeto na wengine wakiwa wamekata tamaa  kwa kushindwa kuwaridhisha wapenzi wao kitandani basi tunakuletea  package ya siku 30 inayojumuisha dawa 2, zilizo katika mfumo Wa vidonge vilivyotengenezwa kiasili bila kemikali,  kwa bei ya punguzo sh 150,000/= tua mbayo itakusaidia kukurudisha katika hali ya kawaida karibu 80% hata kama ulishaathirika kwa upigaji punyeto.

Kifurushi chetu kina muunganiko wa dawa mbili za vig power na zinc/codiceps.

Dawa asili zilizofanyiwa utafiti na kuhifadhiwa katika mfumo wa vidonge  ambazo zitakusaidia

  • Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
  • Kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa kuimarisha kusimama kwa uume.
  • Kuongeza mzunguko wa damu kuelekea kwenye jogoo
  • Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
  • Kusafisha figo
  • Kusaidia wenye matatizo ya jogoo kushindwa kusimama, na kushindwa kurudia tendo la ngono na
  • Kuweka mwili kuwa mchangamfu pasipo kuwa na maumivu ya viungo.

Kumbuka dawa zetu siyo kwa ajili ya kukufanya uache kupiga punyeto. Dawa zetu ni kuimarisha uwezo wako wa tendo la ndoa uliopotea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupiga punyeto kwa muda mrefu.

Dawa utapata kutoka: Ofisi zetu zipo Mwembechai Magomeni

Gharama ya Dawa ni Tsh 150,000/= Laki moja na hamsini elfu.


Muhimu: Hakikisha mpaka umetutafuta upo serious na unahitaji kuondoa tatizo, karibu sana. Kama upo mkoani basi usihofu maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo. Tuandikie whatsapp kwa namba 0678626254 kuanza tiba.

67 thoughts on “Madhara ya Kupiga Punyeto na Tiba”

    1. Karibu yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

    1. Tupo mwembechai. Wasiliana nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

  1. thanks. am ICT educated ones. i understand well about masturbation,
    so now this is a help for me to live on that, and it is unsupported by GOD. thanks very much to give out your teaching.

        1. Mbeya Mjini bado hatuna ofisi, tunaweza kukupatia huduma hata kama upo mbali nasi. Tupigie kwa namba yetu 0762336530 kupata huduma

  2. the good thing is to make our brain thinking on important ensue and making to be busy for more time per day, then after attending home sleep airy, do not allow your brain to remember evils ideas will destruct mind set.

    1. Ukishatumia dawa hakikisha unaendelea kufatilia ushauri kuimarisha afya ya kiume, yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

    1. Karibu yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

  3. Mimi kende zinauma na kiukweli nimuadhirika wa punyeto sasa sijui napataje msaada wenu

  4. Je Mimi naomba utaratibu wa kupata hizi dawa, na nitaamin vp Kama kweli ninyi wa husika maana siku hizi watapeli ni wengi

    1. Karibu Yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

    1. Dawa itafika ndani ya siku 2.Yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

  5. kuna siku nimewahi piga punyeto lakini nikapata ya kwamba sikuusikia sana utamu venye nilikua naskia kitambo.Ndio sasa ikafika mahali nikawacha kupiga.je,nikiendelea kupiga mazoezi,naweza rudia hali yangu ya kawaida ya kua na nguvu ya kiume hadi nifike kileleni mwa kumridhisha mchumba wangu kitandani?

    1. Utakuwa sawa ila muhimu upate na pckage yetu.Yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp no +255762336530 tuweke utaratibu wa kukutumia dawa huko ulipo.

  6. nimepata mawaidha yako daktari asante sana lakn Mimi nimekua nikipiga punyeto kwa 4 years lakn kutoka Leo nimechange lakn ningepata iyo dawa sijui ningeipata aje nkiwa makueni county Kenya

    1. Karibu Yabidi uwasiliane nasi kwa WhatsApp namba 0678626254 tukupatie utaratibu rahisi wa kulipia kukutumia dawa huko Arusha mapema

        1. OOh sory bwana Abeid,bado hatuna ofisi zanzibar, wateja wetu wote wa Zanzibar hulipia kisha tunawatumia dawa. Tupigie kwa namba yetu 0678626254 upate utaratibu.

  7. Mimi nimepiga punyeto siku mbili na nimeacha je naweza rudi kwenye hali yangu ya kawaida au ndo mpka nipate na hiyo dawa

  8. Mm nina mwaka wa 15 nimepiga mpaka nmechoka sasa sina nguvu ila nmepata mtoto tena wakiume dk sijui kama nitapona maana miaka 15 mingi na ninapatwa na aibu sana nikienda faragha hivi sasa sina hamu na mwanamke kabisa

  9. Mimi nimepiga punyeto zaid ya miaka 13,nikaacha na nina muda wa miaka 11,toka niache na nimeonanina watoto 3,lkn tendo ni la tabu kufanya na uume unasinyaa na kurudi ndani…
    naweza pata tibayake Dr?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *